Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
We sema umehamia huko. Mimi hunibandui XXL!sasa dull wa planet bongo eatv kwa sasa atakuw anawapa tabu team nzima ya xxl kutokana uwezo wake na ubunifu alionao huyu kijana na kujituma
katika radio zilizokuwa zinasikilizwa sana mchana ni hii ya xxl ila kwa sasa kama watu wamekubali sana planet bongo kila mtaa mchana watu wameitegea eatv nawez nikatoa fifte fifte katika hiv vipindi viwili hapa mjini kutoka na xxl bado wana uzoefu
Hubanduliwi XXL? Acha utani mkuuWe sema umehamia huko. Mimi hunibandui XXL!
Pole sana we unaebanduliwa mkuuHubanduliwi XXL? Acha utani mkuu
Mkuu mbona planet bongo eatv ipo mara moja kwa wiki tuu,tena usiku unaishindanishaje xxl...sasa dull wa planet bongo eatv kwa sasa atakuw anawapa tabu team nzima ya xxl kutokana uwezo wake na ubunifu alionao huyu kijana na kujituma
katika radio zilizokuwa zinasikilizwa sana mchana ni hii ya xxl ila kwa sasa kama watu wamekubali sana planet bongo kila mtaa mchana watu wameitegea eatv nawez nikatoa fifte fifte katika hiv vipindi viwili hapa mjini kutoka na xxl bado wana uzoefu
Watu mna maneno. Sawa dictatorHubanduliwi XXL? Acha utani mkuu
Huwa napenda sana Facts,sio blah blah.
USHOGA NDO HUANZA HIVI HIVIWe sema umehamia huko. Mimi hunibandui XXL!
Mkuu mbona planet bongo eatv ipo mara moja kwa wiki tuu,tena usiku unaishindanishaje xxl...
mkuu dulla hanaga shobo we mwenyew unalijua ilo ni me mwenyew nachokishuhudia mitaani achana na hizo takwimu uchwara za kubebanaXXl iko juu sana huyo Dula nahisi anatafuta kiki kijanja tu humu JF.
Maneno gani hayo LknHubanduliwi XXL? Acha utani mkuu
Kaja jana mjini Achana nae HuyoMkuu mbona planet bongo eatv ipo mara moja kwa wiki tuu,tena usiku unaishindanishaje xxl...
He Kumbe jamaa anafananisha toy LA maji na sunami pole zake cjui kama Atarudi hapa tena