Dah jamaa mmemkomalia anajuta kupostKumbe wew jamaa wa eatv upo humu jf..sasa si ungeandika jina lako
Dah shemeji yenu kasepa zaidi wiki Tatu now Lkn nikiingia humu najikuta namsahauUSHOGA NDO HUANZA HIVI HIVI
Dead [emoji23][emoji23][emoji23]Hubanduliwi XXL? Acha utani mkuu
Huyuu jamaa na mkubalii kwa stail ya utanfazaji...ilaa kilicho kua kina ni board ni dj wao na yalee makelele ila now kapunguzaa coz nahis jamaa walimwambia
mkuu mkweli unauma team ya clouds inanishambulia kuna huyo mwingine kaja na takwimu ya radio zinazosikilizw dar peke yakeDah jamaa mmemkomalia anajuta kupost
umeona eh safiXxl ni kipind cha matangazo ha ha ha ha kejeli time
Utapata matangazo kama watu hawasikilizi?Xxl ni kipind cha matangazo ha ha ha ha kejeli time