Dully Sykes alinifanya nianze kujichua nikiwa na umri mdogo bila onyo la kusikiliza mashairi ya kiutu uzima, naweza kumshtaki?

Dully Sykes alinifanya nianze kujichua nikiwa na umri mdogo bila onyo la kusikiliza mashairi ya kiutu uzima, naweza kumshtaki?

gearbox

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2024
Posts
563
Reaction score
1,768
Ni mwaka 2002 nikiwa na miaka 12 nilikuwa nasikiliza nyimbo za Dully Sykes, Katika moja wa wimbo wake kuna unaoitwa "Nyambizi" kuna sehemu anaimba

Nyambizi, nionee huruma mi sio kuchu,
nipe japo kiduchu
Mi nshachoka kupiga puchu!

Kama mnavyojua zamani kaseti unaweza kuirudia hata mwaka mzima, nyumbani unakuta kuna kaseti mbili ama tatu, sio kama sikuhizi unaweza kujaza simu nyimbo kibao

Kufikia mwaka 2003 nikiwa na miaka 13 darasa la saba nikaanza kujiuliza Dully Sykes alikuwa anamaanisha kuhusu kupiga puchu.

Nikiwa na shauku zaidi ya kujua nikaweza kulipata jibu, ghafla hisia za kutaka kujaribu zikaniingia

Kuna siku nikiwa nimeenda kuoga bafuni ndio nikaanza huo mchezo na ghafla kujikuta nimekuwa mraibu, kila nikienda kuoga nilikuwa npiga puchu.

Ninaamini kuna wavulana wengi wadogo walianza kujichua kupitia yeye, na kaseti zilikuwa hazina onyo la maudhui ya kiutu uzima, hivyo yafaa awajibishwe

NAANZAJE KUMSHTAKI ?

GHARAMA KIASI GANI NAWEZA KUTUMIA ?

FIDIA KIASI GANI NAWEZA KUMDAI ?
 
Unaweza kabisa kumshitaki, cha muhimu uweke ushahidi thabiti kuwa yeye ndio sababu ya wewe kupiga punyeto

Kumbuka ni muhimu uwe na mashahidi angalau wawili waliokuona ukisikiliza wimbo huo na kukuona ukipiga nyeto baada ya kuusikia

NB: Shahidi asiwe Shetani

Naomba kuwasilisha
 
Unaweza kabisa kumshitaki, cha muhimu uweke ushahidi thabiti kuwa yeye ndio sababu ya wewe kupiga punyeto

Kumbuka ni muhimu uwe na mashahidi waliokuona ukisikiliza wimbo huo na kukuona ukipigs nyeto baada ya kuusikia

NB: Shahidi asiwe Shetani

Naomba kuwasilisha
Wimbo wake ninao

Mashairi yapo

Kuhusu ushahidi hayo ni mambo yanayohitaji privacy vyumbani, bafuni, n.k.
 
Ni mwaka 2002 nikiwa na miaka 12 nilikuwa nasikiliza nyimbo za Dully Sykes, Katika moja wa wimbo wake kuna unaoitwa "Nyambizi" kuna sehemu anaimba...
Fidia gani wewe , acha ulevi basi
 
Sasa ni lini ulifahamu kuwa huo wimbo ndo sababu ya wewe kupiga puchu?

Huoni Dully mwenyewe anakuelimisha kuwa puchu ni mbaya ndo maana anafurahia kupata nyambizi?

Je kwa nini hukufanya utafiti wa kujua nyambizi ni nani uli ujipatie wako badala ya kupiga puchu?
 
Ni mwaka 2002 nikiwa na miaka 12 nilikuwa nasikiliza nyimbo za Dully Sykes, Katika moja wa wimbo wake kuna unaoitwa "Nyambizi" kuna sehemu anaimba

Nyambizi, nionee huruma mi sio kuchu,
nipe japo kiduchu
Mi nshachoka kupiga puchu!

Kama mnavyojua zamani kaseti unaweza kuirudia hata mwaka mzima, nyumbani unakuta kuna kaseti mbili ama tatu, sio kama sikuhizi unaweza kujaza simu nyimbo kibao

Kufikia mwaka 2003 nikiwa na miaka 13 darasa la saba nikaanza kujiuliza Dully Sykes alikuwa anamaanisha kuhusu kupiga puchu.

Nikiwa na shauku zaidi ya kujua nikaweza kulipata jibu, ghafla hisia za kutaka kujaribu zikaniingia

Kuna siku nikiwa nimeenda kuoga bafuni ndio nikaanza huo mchezo na ghafla kujikuta nimekuwa mraibu, kila nikienda kuoga nilikuwa npiga puchu.

Ninaamini kuna wavulana wengi wadogo walianza kujichua kupitia yeye, na kaseti zilikuwa hazina onyo la maudhui ya kiutu uzima, hivyo yafaa awajibishwe

NAANZAJE KUMSHTAKI ?

GHARAMA KIASI GANI NAWEZA KUTUMIA ?

FIDIA KIASI GANI NAWEZA KUMDAI ?
Piga magoti nikuongoze Sala ya Toba comrade!!

Bitter confession aiseh!!
 
Wakili wa kujitegemea niko hapa, hii kesi tunashinda na fidia kubwa mno. Ni pm
 
Back
Top Bottom