Dully sykes angaka kwanini anapigiwa ovyo na wanawake kila siku hasa wake za watu

Dully sykes angaka kwanini anapigiwa ovyo na wanawake kila siku hasa wake za watu

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,006
Katika hali ya kushangaza
mh duly sykes ametangazwa anasumbuliwa sana sana na anajuta kwa nini amezaliwa handsome
kwa kuwa ajaamini kinachoendelea...duly sykes amesema amekuwa akisumbuliwa sana sana
kila mara hata leo amepigiwa na wanawake zaidi ya sita wakimtaka...lakini anasema anaomba jamani
ameacha ile michezo anaomba aheshimiwe uhuru wake n a hivi sasa ameamua kujiondoa kabisa
facebook ...m nashangaa sana sana wanawake wa sikuhizi bana kila mtu anaangalia handsome
hajui yukoje

kazi kweli kweli
 
Srce
cloudssssssss fmmmmmmmmmmmmmmm
 
mi mbona sikujua kama ni handsome ama kweli we ukiona ana chongo,mwenzio anaona analembua leo ndo nimeamini wenye wake zenu sasa kazi ipo mie akaaaaaaaaa:eyebrows:
 
Yaani kupanda chat bure bure. Boys can easily be separated from men!
 
Kaunga na Kongosho
mmenichoka kwa kweli...
ngoja ni logg off kwanza...
 
Vijana hebu mwenye picha yake huyo kijana aiweke hapa kwanza tuione!
 
Back
Top Bottom