Dully sykes angaka kwanini anapigiwa ovyo na wanawake kila siku hasa wake za watu

Misifa's camp ndani ya ilala! Oyooo wayoooo!
 
Dully Sykes ndio yupi? yule aliyeimba oyoyo oyoyo? nawafananisha!
 
hata wenye sura zinazofanania na dada zao hujitapa ni ma'handsome
 
hata mashoga nao ni mahandsome
nakwambia nenda kaangalie mabwabwa wengi kweli ni wazuri mbaya
 
Aya sasa wenye wake jipangeni upya....wake zenu wanamtaka dully sasa wakacheze shikide
 
Kama Dully anajiona ni Handsome basi ngoja amuone Mbwa wetu pale nyumbani. Tunafuga Mbwa anaitwa Juma ni German Shepperd.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…