Nang'olo Ntela
Senior Member
- Jan 19, 2012
- 108
- 24
Tehete Utajiri wa Mwafrika huo, wanawake wengiii na mawazo yetu ni kufikiria wanawake tuu yaani NGONO tena ZEMBE!
Ningemwona wa maana angesema kawekeza kule Tanga ana heka mia anafuga ng'ombe wa maziwa, so anasumbuliwa mno na MBUNG'O na NDOROBO. So hayo ndo maisha ya msanii wa BONGO tehe![/QU" .... WORD!
Hata O-Ten alikuwa anajiita handsome !!
ila Dully na misifa ile halafu nikamfumaniaga anapopiga mbavu Tabata baada yakutimuliwa yeye na mamake kwa bibi pale Ilala nilichoka na nikajiambia mwanangu akinambia anataka kuwa muuza sura bongo ntamfungulia genge la mkaa aisee...linalipa hasaaa!
si unajua mie mzururaji...Mh...!!!! Ulikuwa unatafuta nini anapopiga mbavu Dully..??
Tehete Utajiri wa Mwafrika huo, wanawake wengiii na mawazo yetu ni kufikiria wanawake tuu yaani NGONO tena ZEMBE!
Ningemwona wa maana angesema kawekeza kule Tanga ana heka mia anafuga ng'ombe wa maziwa, so anasumbuliwa mno na MBUNG'O na NDOROBO. So hayo ndo maisha ya msanii wa BONGO tehe![/QU" .... WORD!
Nimependa sana majibu yako mkuu. Asante.
Katika hali ya kushangaza
mh duly sykes ametangazwa anasumbuliwa sana sana na anajuta kwa nini amezaliwa handsome
kwa kuwa ajaamini kinachoendelea...duly sykes amesema amekuwa akisumbuliwa sana sana
kila mara hata leo amepigiwa na wanawake zaidi ya sita wakimtaka...lakini anasema anaomba jamani
ameacha ile michezo anaomba aheshimiwe uhuru wake n a hivi sasa ameamua kujiondoa kabisa
facebook ...m nashangaa sana sana wanawake wa sikuhizi bana kila mtu anaangalia handsome
hajui yukoje
kazi kweli kweli