Dully Sykes:Bombadier,kiukweli huu wimbo sijaelewa sentensi yoyote kwenye verses zake

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,274
Reaction score
6,595

Naona jamaa wanacheza na Dully Sykes anacheka cheka tu wimbo mzima.

Alielewa anisaidie hata baadhi ya sentensi alizozielewa
 
Ngoma kali alafu sio kila wimbo lazma uwe na ujumbe kuburudisha ni kaz pia ya fasihi
 
Kama hana rights za ku sample "Bombastic" wa Shaggy anaweza kushtakiwa na kudaiwa hela.
 
Inahitaji uwe na akili kubwa kumuelewa Dully, ni msanii asiye chuja, anayebadilika kutokana na mazingira, kama uliwahi kufatilia nyimbo zake utajua kua mara nyingi nyimbo zake hua hazina ujumbe wa moja kwa moja isipokua chache sana na still watu wanapenda.

Don forget his nickname, MR. MISIFA. lol
 
Watu tunacheza Despacito na hatuelewi kitu utakua huu umetaja ndege yetu tukufu.

Mi huwa napenda sana nyimbo za Uganda na midundo yao nacheza sielewi neno hata moja nasikia tu mutima wagalanyoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…