Dully Sykes mbona anaimba utoto siku hizi?

Dully Sykes mbona anaimba utoto siku hizi?

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,006
Reaction score
13,281
Nimesikia huu wimbo wake unaitwa shuka, yaani anaimba kitoto kitoto sana.

Hata nyimbo zake 4 zilizopita nazo pia.

Huyu jamaa ni pure talent na anajua kinoma,since kitambo lakini anachoimba sasa ndo tabu tupu!!

Nini tatizo la Dully?
 
kuna ile pisto yangu unaishika shika mwishoe inaku dedisha.........duliy bana mdaa wake naona ndo vile tena awamu zake 4 zimefka mwisho tuna ingia kwenye awamu ya tano sasa.. nazan wazaman mkija uku ntakua hamna mapya tena?
 
Hata mimi hilo nililiona.Ushauri wa bure ni bora aache mziki tu kwa sasa ili alinde heshima yake aliyojijengea.
Hizi nyimbo anazoimba sasa anajichoresha tu mf. togola, mtoto wa kariakoo n.k
 
huyu jamaa sauti yake inaniumiza maskio dah...alafu ametengeneza promo ya efm radio akaona haitoshi akaomba promo ya clouds now wanipiga ya AKISEMAAAAA YES!
 
Kila mwanzo una mwisho,muziki una mwisho kwa wanamziki wa bongo kwa sababu ya vitu mbalimbali kama Pombe,apumzike tu kwa sasa maana ametufungulia njia kwenye mziki wetu wa bongo fleva na ameleta Changamoto nyingi sana za kimaendeleo.

Ahsante sana dully na tunakuheshim kwa Support yako.Kwasasa tengeneza mziki tu ila usiimbe
 
au angetafuta watu wamwandikie nyimbo aimbe

labda ideas zimeisha.
 
Mie naona anawaaibisha wanawake na shuka video clips zake instagram.
 
Huwa ni ujanja ujanja tu ndio unamsaidia ila katika nyimbo zake nyingi za kitoto toto.
 
Inabidi wasanii wakubali kununua nyimbo zilizoandikwa na wengine wenye hivyo vipaji na kuacha kujiaibisha kwa kupiga kelele huku wakishusha hadhi zao
 
Inabidi wasanii wakubali kununua nyimbo zilizoandikwa na wengine wenye hivyo vipaji na kuacha kujiaibisha kwa kupiga kelele huku wakishusha hadhi zao

Mwasiti aliandikiwa ule"nalivua Pendo " na Mzee mmoja hivi, na uka hit!!

tatizo wasanii wamekeremishwa kuandikiwa wimbo ni kuishiwa!!

Dully bado ana ile sauti yake,same kwa TID na Qchillah, wamtafute hata Mavoco au Best Naso awaandikie
 
Hata mimi hilo nililiona.Ushauri wa bure ni bora aache mziki tu kwa sasa ili alinde heshima yake aliyojijengea.
Hizi nyimbo anazoimba sasa anajichoresha tu mf. togola, mtoto wa kariakoo n.k

mfanye marioo ili aache mziki
 
Anawaimbia watoto ambao ndo wasikilizaji
 
Back
Top Bottom