Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Mi sijui, ila tunyimbo twake tutamu
Inabidi wasanii wakubali kununua nyimbo zilizoandikwa na wengine wenye hivyo vipaji na kuacha kujiaibisha kwa kupiga kelele huku wakishusha hadhi zao
Hata mimi hilo nililiona.Ushauri wa bure ni bora aache mziki tu kwa sasa ili alinde heshima yake aliyojijengea.
Hizi nyimbo anazoimba sasa anajichoresha tu mf. togola, mtoto wa kariakoo n.k
mfanye marioo ili aache mziki
mfanye marioo ili aache mziki