Dully Sykes mbona anaimba utoto siku hizi?

Samahani yuko wapi inspeter haroun na luteni kalama na josli na jeby kama kuna mtu anajua waliko aniambie plz
 
Samahani yuko wapi inspeter haroun na luteni kalama na josli na jeby kama kuna mtu anajua waliko aniambie plz

Enzi zao hawa jamaa nyimbo zao zilibamba sana kama inspecta-mtoto wa geti kali
Joslin-perfume
Jebby-swahiba
 
Enzi zao hawa jamaa nyimbo zao zilibamba sana kama inspecta-mtoto wa geti kali
Joslin-perfume
Jebby-swahiba

Yaaani hakuna jamaa aniuma Jeby nyimbo zake nyingi zilikuwa shule kwa jamii lkn leo hii :thumbdown::what:
 
Tatizo mnashindwa kutofautisha..
Kwenye bongo fleva kuna nyimbo NZURI na nyimbo TAMU..

Kwa sasa Dully hana uwezo wa kuandika nyimbo nzuri,bali tamu kama vile BONGO FLEVA,BIBELON,MTOTO WA K/KOO,TOGOLA etc..
Hizo ni nyimbo tamu,uwezo wake haupo tena kwenye nyimbo nzuri..
 
Dah namkumbuka huyu jamaa na Salome chini ya Mikamwamba. Kweli Ruge kaharibu mziki.
 
Samahani yuko wapi inspeter haroun na luteni kalama na josli na jeby kama kuna mtu anajua waliko aniambie plz

Dah Jeby ameacha mziki wakati mashabiki bado tunamuhitaji sana yani.

Juzi kati alitambulisha wimbo wake mpya ila alibadilika sana sio ile style yake ya kama Swaiba.

Akarudi na kusema anarudi kusoma maana anaona mziki haumpi anachokitaka.
 
Dah mpk namwonea huruma na ngoma zake zilikuwa za ukweli sn swahiba, malehem kaacha orodha , stori
 
Yan Ata hii ngoma yake mpya cjui ndo madudu gan katuletea Hovyoooo...Ptuuuuuuh..
 
uko sawa kabisa kwa sasa anatengeneza nyimbo nzuri sio tamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…