Nilisikia swali la mwisho aliloulizwa na Salma kuwa "inakuwa vipi mbona na wewe watu hawakuamini amini kama vile nawe b w a b w a? Dully kajifanya hajaelewa vizuri akajibu vingine
ila kijamaa ninavyoimba huwa kinalembua na kutengeneza midomo kama kidemu vile, yawezekana kipunga kweli.....yaani uchafu h uu umepitiliza kuliko hata kunyewa na kunguru wa zanzibar.