Dully Sykes, Sema lolote kuhusu huyu Brother.

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
26,858
Reaction score
23,768
Mimi Binafsi namuheshimu sanaa...

 
Mbana pua pekee aliyekubalika kwa kubana pua.
 
Nakumbuka nyimbo yake inaitwa Salome.
Na kuna nyingine aliimba na Abby Skillz nimeisahau jina.
 
Miaka Kama 15 iliyopita aliwahi kutuhumiwa Kuliwa japo Sijui Kama ilikuwa Kweli Au laa
 
"Nyambizi nakupenda japo mkubwaaa!! Mateso nayopata usiku ni makubwa naomba unielewe wangu mchumbaaa!!!"

"Salome juu ya kaburi lako naliaaaa aaaah kilio nakisika dakika za mwisho mpenzi najutiaa aaaah kosa niliyokufanyia"



"Julieta nakupenda kwa dhati lakini majirani wanachombeza unafki naapia kwa mola hakyaMungu sikuachia penzi letu bado lipo kwenye chati ......nakupenda mpenzi ,mpenzi letu bado lipo kwenye chaaaatii!!!

Long time ago aisee

Dully legend

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkali wa chorus wa kipindi kile, kijana alikua na.sauti moja matata sana kumbuka.wimbo kama sugarmamy, wanapendeza alioshirikishwa na FA, Lea, Ndoa ya Lazima, Bijue, rais wa bongo alioshirikishwa na Soggy, Ladies free na nyinginezo me kwangu alikua kati ya top 5 wasanii naowakubali kipindi.kile list ikiongozwa na Heavy Weight MC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…