Dume au Jike?

yanakuhusu nini mbona wewe hatujui???acha kuiba picha za watu...
 
Boflo mwenyewe huyooooooooo
 
Mmh haya eti ndio Boflo mwenyewe!
 
Harafu unamkaribisha pepo kwenye shuhuli yako unategemea nini; Hizi K'party bwana!!; ndio maana ndoa hazidumu unategemea huyo jamaa atafundisha nini? kama si ufirauni tu
 
Halafu nadahani alikuwa kwenye kitchen party huyu
 
mzenji huyo, si unajua hawa watoto wa mama mdogo...taarabu (nyimbo yao ya injili) ilipanda hapo....ukipiga muziki kama hiyo kwa hawa ndugu, mzuka inawapanda hadi wanaume wananengua viuno...hapo wanamsifu mungu wao kwa nyimbo na mapambio...taarabu iko hapoooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…