Dump truck driver (dereva wa tipper kubwa natafuta gari)

Joined
Oct 17, 2016
Posts
8
Reaction score
5
Salaam wakuu ,huwenda nikawa nje kidogo ya mada ila nimekuja katika uwanja huu kwa lengo la kutafuta gari ya kufanya nazo kazi aina ya tipper (mende)nina uzoefu na nina kazi za kutosha hapa jijini dodoma kupindi kilichopita nilikuwa nina gari ya kufanya nayo kazi ila kwa bahati mbaya kwenye nayo alifariki familia yake ikaamua gari iuzwe hivyo kama kuna mmiliki yoyote ambaye anaweza fanya kazi na mimi tafadhali naomba anisaidie kwa hili swala langu

1.Malipo ambayo yanafanyika kwa boss ni tsh.350000 per day (jijini dodoma hatufanyi kazi usiku wala kukesha)

2.kazi ambazo huwa ninazifanya ni kubeba mchanga tuuu (kifusi ni mala chache sana mpaka itokee)

Pia luksa boss kuja kuangalia mazingira ya kazi zetu tunakopakilia mchanga na njia zetu ni salama namba zangu ni 0673654598
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…