Dumped after paying fees

you marry her first then you take her to school
 
Ha ha ha
Uuuwi!
Nimecheka mpaka machozi.
 
Dont worry, be happy. Its a path she has chosen to follow. What goes around normally comes around. Time will tell.
 
Hongera kwa kutimiza wajibu wako.
Huo haukuwa wajibu wake ila wazazi wa mke. Alioa mke ili aanzishe Familia lakini akajichanganya kwa kushindwa kuufuata kusudi la ndoa na akadandia Gari mbele ili asifiwe na wakwe na mwishowe wanaume wasiotaka majukumu wakachukua Chao kiulainiiiii[emoji1787][emoji2961]

Sent from my WAS-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Hongera mkuu ..upo vizurinaona unafanya mazoezi ya uandishi kwa lugha ya kingereza , uko vizuri
 
Umewahi kukuta huu ujumbe mahali "Park at your own risk" sasa hapo kwenye neno "park" weka "somesha".
 
I feel sorry for you brother, Hope you got a lesson!
 
Mimi nikitaka kuacha mchumba niliyemchoka namsomesha....
haha najua harudi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…