Dumping charges!! Msaada tafadhali..

Planner

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2011
Posts
348
Reaction score
148
Habari wadau,
Nimeagiza kausafiri kutoka Japana kenye details zifuatazo:
-Type Nissan Xtrail
-Year of manufacture- 2005 -UA-NT30
-Ukubwa wa engine- 1990 CC (petrol)
-Gharama mpaka kulifikisha Tz(CIF) USD 5000
-Seat-5

Naomba msaada wenu kukokotoa jumla ya kodi nitakayolipa (na gharama zingine,plate number,registration,port charges etc) mpaka nilitie mkononi,kwa kuzingatia sheria mpya ya DUMPING FEE ambayo itabidi nililipie kwakuwa litakuwa na umri wa miaka kumi na sheria inasema mwisho miaka 8!!
Natanguliza shukrani!
 
mkuu ipo hivi
1. Import charge ni 25%
2. ex duty ni 20%
3. Value ya CIF + EX. DUTY TIMES 25% UTAPATA DUMPING FEE
4. VAT = 18%

HAPO UTAPATA KODI

GHALAMA NYINGINE NI
1. PORT CHARGE =1.8% YA CIF
2. D.O KAMA $ 90
KAMA VIPI TUWASILIANE KWA PRIVATE BOX..

NGOJA NI KU-PM. TUONGEE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…