2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 3,130
- 4,735
Nani atawasemea tena Watanzania kuhusu hizi gharama za kila kitu kupanda?
Je, bado hatuoni faida ya Wapinzani Tanzania?
Je, ni Wapinzani pekee wanaumizwa na gharama hizi? Maoni yako tafadhali.
Tukumbuke cement haitoki nje (kisingizio cha COVID-19 hakipo).
Tunalima alizeti mikoa mingi tu, karanga, mawese kitu gani kinapandisha hizi gharama?