Meli inakujaWajinga tu mnasherekea kutangaza mabaya. changamoto zinazojitokezea ni kawaida, sio kwamba serikali haioni na imelala, inashughulikia meli ya mafuta inakuja na bei itarejea kikawaida.
Hata kama itarejea haitafika lita 3000 ka mwanzo tenaWaovu tu mnasherekea kutangaza mabaya. changamoto zinazojitokezea ni kawaida, sio kwamba serikali haioni na imelala, inashughulikia meli ya mafuta inakuja na bei itarejea kikawaida.
Tumuulz mtoa threadHivi ni wapi huko cement inauzwa 24,000?
Hata isiporejea kana zamani Ndio mabadiliko ya bei , hata hiyo 3000 haikuwapo zamani. Tufanye kazi tuache kulia liaHata kama itarejea haitafika lita 3000 ka mwanzo tena
Kipindi wanasema cement ni 30,000 huku kwetu Kuna sehemu waliweka bango kabisa cement 16,000. Ngoja nifanye uchunguzi tena.Hivi ni wapi huko cement inauzwa 24,000?
Wanaoumia ni wavivu wasiotaka kujishughulisha. Fursa zipo nyingi,ufanye kazi ili uweze kujikimu.Na ninachojiuliza zaidi na sipati jibu kila siku ni kwamba kwa gharama hizi zinazoendelea tunaoumia ni sisi wote au wapinzani tu kama ni sisi wote hawa wenzetu wanaraha gani ya kufurahia miaka mitano mingine[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]tuanzie hapo kwanza
Tulieni bado tunazindua miradi Chato mnafikiri Nchi kuwa kama ' Karifonia' ni rahisi?.Yaani Ni noma..lita saiz ni 48000 mafuta ya kula.
Lita 18/20 tuliyokuwa tunachukua kwa 56,000 saiz Ni 82,000 na inazidi kupanda kila siku
Cement saivi mpaka 15,500 sasa huko inapouzwa 24,000 ndio sijui ni maeneo ganiKipindi wanasema cement ni 30,000 huku kwetu Kuna sehemu waliweka bango kabisa cement 16,000. Ngoja nifanye uchunguzi tena.