T Truth Matters JF-Expert Member Joined Apr 12, 2013 Posts 2,302 Reaction score 4,603 Nov 5, 2013 #1 Hivi ni kweli kuna hawa washikaji wanapata mfadhaiko kwenye halaiki kama vile daladala! Au ni story za vijiweni? kuna mtu amewahi shuhudia hili?
Hivi ni kweli kuna hawa washikaji wanapata mfadhaiko kwenye halaiki kama vile daladala! Au ni story za vijiweni? kuna mtu amewahi shuhudia hili?
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,717 Reaction score 13,176 Nov 6, 2013 #2 sijui kwa sasa kama bado wapo ila mwaka 1999 nilikuwa nikiwashuhudia sana pale ilipojengwa shule ya sekondari city/benjamin mkapa. Nalog off
sijui kwa sasa kama bado wapo ila mwaka 1999 nilikuwa nikiwashuhudia sana pale ilipojengwa shule ya sekondari city/benjamin mkapa. Nalog off
Sista JF-Expert Member Joined Sep 29, 2013 Posts 3,208 Reaction score 1,033 Nov 7, 2013 #3 Wapo bado huku wanajulikana kama 'babu toa'