Lakini bwana maisha kitendawili sana, huwaga tunasema usichopenda kutendewa usitende na kile umtendeacho mwenzio ndivyo na yeye anavyokutendea. Sasa waweza kukuta mwenye mali naye ni mkware balaa na kwakua anajua kwamba na mwenzie atamtendea hivyo basi akaamua amwekee tego lol??
sasa imekuwa aliyekutwa na ngozi ndiye mla nyama jamani haya maisha ni fumbo sana kwa mwanadamu. Smile nakupenda sana kwasababu ya msimamo wako. Nakuombea sana uendelee hivyo.