mwengeso JF-Expert Member Joined Nov 27, 2014 Posts 9,227 Reaction score 6,670 Jan 11, 2022 #1 Kinachoendelea nchini, kisiasa, ni wazi kwamba pesa imezaa kiburi na madaraka yamejenga maadui. YAJAYO ni KITENDAWILI lakini ...
Kinachoendelea nchini, kisiasa, ni wazi kwamba pesa imezaa kiburi na madaraka yamejenga maadui. YAJAYO ni KITENDAWILI lakini ...
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,563 Reaction score 48,223 Jan 11, 2022 #2 Nitakuwepo hapa kwa ajili ya Michango ya Wadau tu
cheetah255 JF-Expert Member Joined Oct 19, 2017 Posts 1,376 Reaction score 2,393 Jan 11, 2022 #3 Alafu kuna mtu anadai keki ya taifa ni kubwa sana kila mmoja ale kipande chake.
Khalifavinnie JF-Expert Member Joined May 19, 2017 Posts 2,796 Reaction score 2,367 Jan 11, 2022 #4 tz misukule
torvic JF-Expert Member Joined Mar 9, 2016 Posts 3,978 Reaction score 9,841 Jan 11, 2022 #5 Date20210317 said: Kwahiyo uzi tayari au sio?? Click to expand... kweli watanzania tumezoea propaganda naporojo. ulikuwa unataka uzi uwe na maneno mengi yakisiasa na unafiki ndani yake ndo uuelewe vizuri
Date20210317 said: Kwahiyo uzi tayari au sio?? Click to expand... kweli watanzania tumezoea propaganda naporojo. ulikuwa unataka uzi uwe na maneno mengi yakisiasa na unafiki ndani yake ndo uuelewe vizuri
Rabonn JF-Expert Member Joined Nov 7, 2018 Posts 5,789 Reaction score 11,106 Jan 11, 2022 #6 kibabu cha jadi said: kweli watanzania tumezoea propaganda naporojo. ulikuwa unataka uzi uwe na maneno mengi yakisiasa na unafiki ndani yake ndo uuelewe vizuri Click to expand... Mimi nimeuliza tu
kibabu cha jadi said: kweli watanzania tumezoea propaganda naporojo. ulikuwa unataka uzi uwe na maneno mengi yakisiasa na unafiki ndani yake ndo uuelewe vizuri Click to expand... Mimi nimeuliza tu
mwengeso JF-Expert Member Joined Nov 27, 2014 Posts 9,227 Reaction score 6,670 Jan 12, 2022 Thread starter #7 Date20210317 said: Kwahiyo uzi tayari au sio?? Click to expand... Kama hujaelewa tambua kwamba "siasa ni nyepesi kuliko hewa lakini ni kali zaidi kuliko upanga"
Date20210317 said: Kwahiyo uzi tayari au sio?? Click to expand... Kama hujaelewa tambua kwamba "siasa ni nyepesi kuliko hewa lakini ni kali zaidi kuliko upanga"