ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Ili tuwe na tukae katika usawa basi tuheshimiane , kwanini muongoza chombo meli au ndege anatambulika kama captain na anavaa kofia na nguo za kiaskari wakati muongoza basi anaitwa dereva , hiyo sio haki na wao waitwe madereva, au wa basi aitwe kaptain apewe nguo na kofia ya kijeshi Kama wenzake wa ndege.
Yani wao ni kinanani mpaka wasiitwe dereva.
Au wameenda mafunzo ya kijeshi Mana usilolijua usiku wa giza
Yani wao ni kinanani mpaka wasiitwe dereva.
Au wameenda mafunzo ya kijeshi Mana usilolijua usiku wa giza