ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Ili tuwe na tukae katika usawa basi tuheshimiane , kwanini muongoza chombo meli au ndege anatambulika kama captain na anavaa kofia na nguo za kiaskari wakati muongoza basi anaitwa dereva , hiyo sio haki na wao waitwe madereva, au wa basi aitwe kaptain apewe nguo na kofia ya kijeshi Kama wenzake wa ndege.
Yani wao ni kinanani mpaka wasiitwe dereva.
Au wameenda mafunzo ya kijeshi Mana usilolijua usiku wa giza
Dunia haijawahi kuwa Sawa,na haitakuwa Sawa,Ili tuwe na tukae katika usawa basi tuheshimiane , kwanini muongoza chombo meli au ndege anatambulika kama captain na anavaa kofia na nguo za kiaskari wakati muongoza basi anaitwa dereva , hiyo sio haki na wao waitwe madereva, au wa basi aitwe kaptain apewe nguo na kofia ya kijeshi Kama wenzake wa ndege.
Yani wao ni kinanani mpaka wasiitwe dereva.
Au wameenda mafunzo ya kijeshi Mana usilolijua usiku wa giza
Hutaki auIli tuwe na tukae katika usawa basi tuheshimiane , kwanini muongoza chombo meli au ndege anatambulika kama captain na anavaa kofia na nguo za kiaskari wakati muongoza basi anaitwa dereva , hiyo sio haki na wao waitwe madereva, au wa basi aitwe kaptain apewe nguo na kofia ya kijeshi Kama wenzake wa ndege.
Yani wao ni kinanani mpaka wasiitwe dereva.
Au wameenda mafunzo ya kijeshi Mana usilolijua usiku wa giza
Kwamba nani vile?Dunia haijawahi kuwa Sawa,na haitakuwa Sawa,
Mafunzo ya kuendesha meli na Ndege huwezi kuyalinganisha na kujifunza kuendesha gari,hayo msfunzo ni gharama na magumu na yanahitaji Elimu kubwa kidogo,udereva hata vilaza wanaweza,Waziri Simbachawene japo ni kilaza,aliweza kuendesha gari