Dunia huwa haiendeshwi na ukweli

Dunia huwa haiendeshwi na ukweli

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Maisha ya hapa duniani huwa hayaendeshwi na ukweli uliowekwa na binadamu.

MTU anayekupa NO na kukuambia haufai MTU huyo huyo kesho anakupa YES na kukuambia unafaa.

Hivyo unapoishi hapa duniani usifatishe kile watu wanachoamini Ila fatisha unachoamini wewe.

Hivyo ukiambiwa hauwezi, ukiambiwa wewe ni mbaya au mzuri unabidi usichukulie serious huo ni ukweli wao na sio wako.

Binafsi kuna watu niliwakataa na Leo nawakubali na kuna mambo niliambiwa ili nipate Kazi fulani au kufanya biashara Fulani lazima niwe na vigezo Fulani Ila ukweli haupo hivyo. Mambo mengi tulioyapata ni about God's Grace /Universe. And not efforts or hardworking.

So don't trust the truth made by human being but create your own truth and stay in it.

Unachokiamini wewe ndo kitakupa majibu na matokeo na sio wanachokiamini watu .
 
Dunia ni grey zone, matajir wanalijua hili the rest they dont
 
Back
Top Bottom