Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Nasikia wewe ndio unapenda sana kutumiana vikojoleoHayo ni mambo yenu watoto wa shule. Sisi watu wazima tunachotumiana ni miamala tu.
Ushamegewa kihasara na unakuja hapa kulia liaDaaaahhh kuna vitu ukivikumbuka unaweza kulia. Dunia
Ahahahaha.Siku hizi hata akikuvulia nguo zote, hisia za kusaka kwa manati. Ukiwaza alishakutumia sms zaidi ya 60 za "TUMA NA YA KUTOLEA" na miscall 300 kabla hamjaonana nae.