Dunia iliishia 1999

marcoveratti

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
1,019
Reaction score
1,824
Inaweza kukushangaza ila ndio ukweli, huo

December 14 mwaka 1999 uli tokea mlipuko mkubwa sana wa bomu la nyuklia,, mlipuko ulio angamiza zaidi ya 98% ya watu wote duniani, na hao 2% walio salia walipata athali kubwa sana kiafya ulemavu na ukame uli jaa sababu ardhi haikuweza kustawi tena kutokana na sumu za mabomu hayo, kufika Dec 28 1999 huku binadamu akiishikwa tabu waweza kuja wageni kuto anga za mbali(Aliens) hali walio ikuta haikua kuridhisha wakachukua jukumu la kuchukua binadamu walio nusulika wakaondoka nao na kuwapeleka huko walipo toka ili kuwatibu, na kutengeneza simulation itakayo wafanya kuwa kwenye coma huku wakiona wanaishi Duniani kama kawaida, walifanya hivyo pia wakatengeneza binadamu wengi maabala na kuwaweka kwenye coma huku waki enjoy simulation ya duniani.

Watu wemyewe ndio sisi, hapa tupo kwenye simulation walio iandaa hao alien na hakuna lilicho real, vyote vilisha potea 1999, na dunia haikaliki tena imejaa sumu.
 
Inaonesha umezaliwa baada ya 1999...

 
Umezaliwa mwaka gani?
 
Broh u need a slap
 
Acha ku copy conspiracy theories ambazo ukiambiwa u prove utashindwa.
Amka kanywe chai tafuta shighuli ya kufanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…