Dunia iliishia 1999

Ni vitu gani vinavyoweza ku prove hii theory?
 
Allien wewe wamekuweka wapi? Hata hivyo hongera. Mm na wengine kuujadili tu huu uzi inaonyesha kuwa akili zipo maana kama hazipo basi sisi tunaoujadili ndo mabogus kabisa.
Aliens wako space kwemye sayari yao inayo itwa Qrion
 
Jamaa naona anaanda script lake la blockbuster move🎬 itakalo kuja kumsumbua huko mbeleni miaka kama 10,000 ijayo🤣. Nasisitiza ana hoja🎯 msimshangae kama wadudu og wakimkaribisha Mh. Makonda.
 
Nasikia hiv visungura na smart jin ukezihisha unaeza ukafaa
 
Vitoto vilivyozaliwa miaka ya 2000's vimevamia Jamii Forum.
 
Huo mwaka uliisha kwa tabu sana nakumbuka mwaka huo 1999 ndio nilikuwa namaliza std 7 ilikuwa ni hofu kuwa eti mwaka 2000 ndio mwisho wa dunia lakini hakuna kilichotokea zaidi ya kibwetere kuwachoma moto waumini wake
Hilo ndyo tukio kubwa na lakusikitisha lilitokea alafu anakuja mtu amezaliawa miaka ya 2000s na nadharia ya kijinga. Ila syo kosa lao ni kutofaham mambo yaliyotokea miaka ya 90s,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…