Dunia iliishia 1999

Nyie watu mliozaliwa kuanzia 2000 kuja juu hamsomi kabsa. Mnajiona nyie ndio mnajua kila kitu kisa wakati mnazaliwa kulikua na computer.

Kuna dogo nilimwambia mimi kijana nmezaliwa miaka ya 1980 kwenda juu. Kale katoto kalishangaa kakasema "Kwa hiyo ulikuwa mtumwa?"

Yani mnaamini vitu gani sijui akilini mwenu.
 
Hahahahaha
 
Madhara ya kuangalia filamu/series
 
toa hoja tetea hoja ndio watu walio elimika huwa wanafanya kama huna point kaa kimya habari wa walio zaliwa mwaka gani na mwaka hio sio hoja na huna uhakika wowote kiwa ni mzaliwa wa 2000+
 
Cos my mind is too strong to lost in a puzzle
If your mind is as strong as you say..., you would have put this story in such a way so as to avoid plot loopholes... and without an explanation of how you came into knowledge about a thing which wiped out everyone's memories, such a story will not be plausible...
 
toa hoja tetea hoja ndio watu walio elimika huwa wanafanya kama huna point kaa kimya habari wa walio zaliwa mwaka gani na mwaka hio sio hoja na huna uhakika wowote kiwa ni mzaliwa wa 2000+
Hoja iko wapi mkuu? Mimi nilikuwepo 1999 sikufa wala sikuona hilo. Au unachanganya na Y2K?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…