[emoji16][emoji16]Huwa naona wacha Mungu (watu wa imani)ni vichaa kwa kuamini baadhi ya nadharia za imani, ila naona wewe una kichaa zaidi kuliko hata wao.
Sidhani kama kuna mtu mwenye akili inayofanya kazi vizuri ataona huu uzi una make sensi hata kwa asilimia 0 %
aah wapi! sio mmInaweza kukushangaza ila ndio ukweli, huo
December 14 mwaka 1999 uli tokea mlipuko mkubwa sana wa bomu la nyuklia,, mlipuko ulio angamiza zaidi ya 98% ya watu wote duniani, na hao 2% walio salia walipata athali kubwa sana kiafya ulemavu na ukame uli jaa sababu ardhi haikuweza kustawi tena kutokana na sumu za mabomu hayo, kufika Dec 28 1999 huku binadamu akiishikwa tabu waweza kuja wageni kuto anga za mbali(Aliens) hali walio ikuta haikua kuridhisha wakachukua jukumu la kuchukua binadamu walio nusulika wakaondoka nao na kuwapeleka huko walipo toka ili kuwatibu, na kutengeneza simulation itakayo wafanya kuwa kwenye coma huku wakiona wanaishi Duniani kama kawaida, walifanya hivyo pia wakatengeneza binadamu wengi maabala na kuwaweka kwenye coma huku waki enjoy simulation ya duniani.
Watu wemyewe ndio sisi, hapa tupo kwenye simulation walio iandaa hao alien na hakuna lilicho real, vyote vilisha potea 1999, na dunia haikaliki tena imejaa sumu.
Hawa hata usiwajibu, wala hata usiwe unawaletea mada za aina hii.small minded
Wizo mmeo karudi umemuona?? πππHawa hata usiwajibu, wala hata usiwe unawaletea mada za aina hii.
Akili zao bado zimegandamana na usingizi mzito sana utawalaumu bure.
Hawa waletee mada za papuchi, umbea na mpira. Hapo mtaenda nao sambamba mpaka utadata.
Haswa haswa umbea alooooo wanapagawa wanaachama midomo kwa utamu kama mazombi.
Huu ni mtego wa kifo, only the few chosen will decode the matrix and transcend above it.
Na sio hawa vikaragosi.
Cc: Lamomy
ππ€£π€£π€£π€£π€£ππ nimemuonaaaa tuko nae hapa nampa masaji ya mgongo alikuwa safari jamani huko nyikanii, amerudi na upwiruuuu leooo mimba naiona laivuuu πππWizo mmeo karudi umemuona?? πππ
Umbea fo life mtajiju wizo na huyo boyfriend wako
Kumbe wewe ni demu?ππ€£π€£π€£π€£π€£ππ nimemuonaaaa tuko nae hapa nampa masaji ya mgongo alikuwa safari jamani huko nyikanii, amerudi na upwiruuuu leooo mimba naiona laivuuu πππ
π€£π€£π€£π€£ wizo mbavu zinaniuma mwenzioππ€£π€£π€£π€£π€£ππ nimemuonaaaa tuko nae hapa nampa masaji ya mgongo alikuwa safari jamani huko nyikanii, amerudi na upwiruuuu leooo mimba naiona laivuuu πππ
Uone nini acha umbea π€£π€£π€£ππππ ngoja nione.....
ππππππππ OoooooohUone nini acha umbea π€£π€£π€£
Usiombe nikutunuku papuchi utauza mashamba yote ya mirathi.Kumbe wewe ni demu?
1999 hilo bomu lilipuliwa kutokea wapi? Shida ya kuangalia science fiction kwa muda mrefuInaweza kukushangaza ila ndio ukweli, huo
December 14 mwaka 1999 uli tokea mlipuko mkubwa sana wa bomu la nyuklia,, mlipuko ulio angamiza zaidi ya 98% ya watu wote duniani, na hao 2% walio salia walipata athali kubwa sana kiafya ulemavu na ukame uli jaa sababu ardhi haikuweza kustawi tena kutokana na sumu za mabomu hayo, kufika Dec 28 1999 huku binadamu akiishikwa tabu waweza kuja wageni kuto anga za mbali(Aliens) hali walio ikuta haikua kuridhisha wakachukua jukumu la kuchukua binadamu walio nusulika wakaondoka nao na kuwapeleka huko walipo toka ili kuwatibu, na kutengeneza simulation itakayo wafanya kuwa kwenye coma huku wakiona wanaishi Duniani kama kawaida, walifanya hivyo pia wakatengeneza binadamu wengi maabala na kuwaweka kwenye coma huku waki enjoy simulation ya duniani.
Watu wemyewe ndio sisi, hapa tupo kwenye simulation walio iandaa hao alien na hakuna lilicho real, vyote vilisha potea 1999, na dunia haikaliki tena imejaa sumu.
Pasuka nikushone bandama kwa nyuzi saba za viatu alaaah πππππ€£π€£π€£π€£ wizo mbavu zinaniuma mwenzio
Hebu muite nimsalimie shem
ππππππππUsiombe nikutunuku papuchi utauza mashamba yote ya mirathi.
Unaonekana wa moto kwelikweli... Tatizo mimi sipendelei papuchi tu napenda ugali na mbogaUsiombe nikutunuku papuchi utauza mashamba yote ya mirathi.
Huyo mumeo ndo yule anae kunaniliu nini sijui
Umbeaaa tyuuuuuuuuu mfyuiuui π₯°π₯°π₯°ππππππππ Oooooooh
Kweli tunajuana..
ππππππ
Na mii nimuone unaye muita shem
ππππππππ
mboga ganiiiiUnaonekana wa moto kwelikweli... Tatizo mimi sipendelei papuchi tu napenda ugali na mboga
anayenizaga.......Huyo mumeo ndo yule anae kunaniliu nini sijui
ππππππππππππππ