king joniva
JF-Expert Member
- May 14, 2018
- 262
- 296
Ni kwer kabisaa mkuu hata huyu mwenye picha uliyo iweka kwenye avatar yako alikosea sana kuweka mtandaoni..kwer Kabsaa mkuu!!!Lakini sasa nimeelewa kwanini yote hayo yalikuwa yanafanyika, na ninakubaliana nao kuwa walikuwa na wapo sawa hata na sasa. Wote ni mashahidi jukwaaa la MMU watu wakitafuta wapenzi, kwenye social networks tofauti watu wakitafuta wapenzi. Picha nyingi zimekuwa zikitumika huko, na nyingi kati ya picha zinazotomika si za wahusika wenye picha wenyewe na wala wao hata hawajui.
sawa mkuu,kila mtu aishi vile apendavyo.Kaka kama unaamini uchawi na ushirikina wa kutumia picha hilo ni lako....mimi navyojua ni kwa sababu ya Security na Privacy ya mtu...sasa hoja yangu mimi kapuku naishi chini ya dola moja kwa siku nahofia nini juu ya Privacy yangu...nina nini mimi hadi eti nifikirie kupost ka picha ka kangu ka birthday pale Facebook in risk?
ni kweli kabsa pona yake mimi siitumii kwa mabaya,ila fikiria ingekutana na mtu halafu aitumie kwa matumizi yake mengine anayoona yeye yanafaa.Ni kwer kabisaa mkuu hata huyu mwenye picha uliyo iweka kwenye avatar yako alikosea sana kuweka mtandaoni..kwer Kabsaa mkuu!!!
Nadhani kwa picha hyo unayoitumia labda kuna mwingine anaitumia pia kwa manufaa yake kama wewe... NADHANI!!!😂ni kweli kabsa pona yake mimi siitumii kwa mabaya,ila fikiria ingekutana na mtu halafu aitumie kwa matumizi yake mengine anayoona yeye yanafaa.
Hapo vipi unadhani mkuuu?
Unatia kinyaaUjinga, Kama ni hivyo picha za matajiri amina MO wangekuwa wanazisaka balaa na hadi sasa hivi wangeshamfanya msukule....nyie ndiyo huwa mnaogooa hata kujenga makwenu vijijini kisa kuogopa kurogwa!!
Google PhotoPicha kuhifadhi kwa hardcopy ni primitive sana
Unaweza kuhifadhi kwa njia hata ya email bila mtu mwingine kuziona. Hata fb unaweza ukazipiga pin vilevile zisionekane
Katika Dunia ya sasa, unapotaka kufanya chochote kinachohusiana na Privacy yako kumbuka huu msemo kuwa;
Do it at your own risk!
Nyie jamaa sura zenu zinafanana mno ni mtu mmoja nn!?una uhakika huyu jamaa ni yeye kama unavyoiona hiyo avatar yangu?
wewe umeamua kuweka picha za watu na huo sio ujanja bali ni kinyume cha sheria
usilete pigo za kusema old fashion,so wewe ulie updated unaona sawa kutumia picha za wengine bla kibali?
Wewe ni mwalimu?ni kweli ila kuzihifadhi kwa FB si salama wengine tuna assignement zetu tunaa ambiwa Hack akaunt ya flani
unafanya attempt kitu kimo,sasa wanafunzi wengine hutumia mafunzo hayo tofauti na lengo
labda uzihifanyi kwenye hard disk,flash,memory,online drives,nk ila sio huko kwenye ma social networks
Mdogo wangu kuna kitu umeandika hapa kimenigusa na kimenitokea Mimi, nitakuhadithia kule.!!Hapana