Dunia imegeuka, ni heri ya Trump kuliko Biden.

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Dunia Iko sehemu mbaya ya uhaba wa nishati, chakula, kupanda kwa maisha na kukaribia vita vya nukilia kutokana na vita na vikwazo dhidi ya Russia.

Wakati Trump alikuwa anaamini kwenye dialogue Biden anaamini kwenye mtutu wa bunduki. Trump alifanya mazungumzo mengi na watu anaotofautiana nao la kini Biden Hana uwezo huo, hajiamini.
 
Trump yule aliyezikashifu nchi za kiafrika?

Usivunje kioo chako kwa kukuonyesha kuwa una tongotongo kwenye jicho la kushoto, bali nenda kanawe uso, na ikiwezekana nenda haraka ukatibiwe jicho lako hilo.

Waafrika kutwa na vibakuli kama matonya kwenda kuomba wakati hawakusanyi kodi na kudhibiti mabilioni yanayoibiwa kwenye nchi zao.
 
Dunia Iko sehemu mbaya ya uhaba wa nishati, chakula, kupanda kwa maisha na kukaribia vita vya nukilia kutokana na vita na vikwazo dhidi ya Russia.

Wakati Trump alikuwa anaamini kwenye dialogue Biden anaamini kwenye mtutu wa bunduki. Trump alifanya mazungumzo mengi na watu anaotofautiana nao la kini Biden Hana uwezo huo, hajiamini.
Mkuu wewe ni Mmarekani?
 
Itakuwa kuna kinywaji au kitu fulani unavuta, yaani aliyevamia nchi nyingine kwako yuko sawa mwenye makosa na anayestahili lawama ni wanaotetea haki ya taifa la Ukraine?
 
Nilijua mwenzetu uko USA, Au ni Mmarekani mwenye asili ya TZ..
ni mtu anaeteswa na wizi wa fedha za umma kila report ya CAG inapotolewa kila mwaka lakini hakuna mtu aliyenyongwa hata mmoja, hii ni kuonyesha kuwa upotevu huu una maslahi ndani ya CCM ndio maana hakuna hatua nzito zinachukuliwa, kazi yao ni kutubandika madeni na tozo kila siku. Trump aliongea ukweli kuhusu Afrika, hatujitambui hata kidogo, mfano kwenye utawala wa kidemokrasia na siasa ya vyama vingi CCM inawezaje kuongoza nchi kwa miaka 60 mfululuzo? je, mambo ni mazuri kiasi hicho kweli? wananchi tumebemendwa.
 
Aisee..
 
Back
Top Bottom