Katika maneno yake kulikuwa na uongo?Trump yule aliyezikashifu nchi za kiafrika?
Usivunje kioo chako kwa kukuonyesha kuwa una tongotongo kwenye jicho la kushoto, bali nenda kanawe uso, na ikiwezekana nenda haraka ukatibiwe jicho lako hilo.Trump yule aliyezikashifu nchi za kiafrika?
Mkuu wewe ni Mmarekani?Dunia Iko sehemu mbaya ya uhaba wa nishati, chakula, kupanda kwa maisha na kukaribia vita vya nukilia kutokana na vita na vikwazo dhidi ya Russia.
Wakati Trump alikuwa anaamini kwenye dialogue Biden anaamini kwenye mtutu wa bunduki. Trump alifanya mazungumzo mengi na watu anaotofautiana nao la kini Biden Hana uwezo huo, hajiamini.
alikua sahihi kabisaTrump yule aliyezikashifu nchi za kiafrika?
Nilijua mwenzetu uko USA, Au ni Mmarekani mwenye asili ya TZ..mimi sio Mmarekani, kwani vepe?
ni mtu anaeteswa na wizi wa fedha za umma kila report ya CAG inapotolewa kila mwaka lakini hakuna mtu aliyenyongwa hata mmoja, hii ni kuonyesha kuwa upotevu huu una maslahi ndani ya CCM ndio maana hakuna hatua nzito zinachukuliwa, kazi yao ni kutubandika madeni na tozo kila siku. Trump aliongea ukweli kuhusu Afrika, hatujitambui hata kidogo, mfano kwenye utawala wa kidemokrasia na siasa ya vyama vingi CCM inawezaje kuongoza nchi kwa miaka 60 mfululuzo? je, mambo ni mazuri kiasi hicho kweli? wananchi tumebemendwa.Nilijua mwenzetu uko USA, Au ni Mmarekani mwenye asili ya TZ..
Aisee..ni mtu anaeteswa na wizi wa fedha za umma kila report ya CAG inapotolewa kila mwaka lakini hakuna mtu aliyenyongwa hata mmoja, hii ni kuonyesha kuwa upotevu huu una maslahi ndani ya CCM ndio maana hakuna hatua nzito zinachukuliwa, kazi yao ni kutubandika madeni na tozo kila siku. Trump aliongea ukweli kuhusu Afrika, hatujitambui hata kidogo, mfano kwenye utawala wa kidemokrasia na siasa ya vyama vingi CCM inawezaje kuongoza nchi kwa miaka 60 mfululuzo? je, mambo ni mazuri kiasi hicho kweli? wananchi tumebemendwa.