Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,429
- 4,125
- Thread starter
-
- #41
Kivipi mwandiko hubadilikaMwandiko wako siku ya kwanza unajiunga, unaomba tukupokee humu na huu wa leo, utofauti ni mkubwa sana kama mbingu na ardhi.
Au tayari kuna njemba umefikabidhi hii akaunti ikuendeshee kimkakati, MTUTAPELI????
AhsanteWanawake wa aina hiyo kuwa nao makini sana..
Hii sio Badoo wala Tinder wew! Umekosea mlangoMuone kwanza
Tatizo Una kiherehere mnoHii sio Badoo wala Tinder wew! Umekosea mlango
Shaur yako!Tatizo Una kiherehere mno
KunaπSasa tukuelewe vipi Maria, kwamba unacheza bara na pwani au?
uzi uende na nyimbo ya Kuna by Diamond Platnum
HaswaaaaUshetani tu
hahaππππ,.haya mambo yapo Dqr tu huku kwetu mikoani ndani ndani hamna kabisa πππππππ