Dunia imetiwa unajisi!

Konzogwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2008
Posts
434
Reaction score
156
Jamani dunia imetiwa unajisi kwa watu wanaoikaa! Ndo maana magonjwa! Njaa! Vita! Matetemeko! Tsunami! Cathlina nk. Nabii ISAYA 24:6,7 anasema ni kwa sababu tumeasi sheria,tumebadili amri,tumelivunja AGANO LA MILELE! ndo sababu laana imeila dunia.

Je,unalijua agano la milele???

Kama hulijui soma KUTOKA 31:16-17. Anasema agano la milele ni SABATO!.....Kuiangalia sana hiyo sabato ni agano la milele.

Baada ya kusoma ujumbe huu,unaombwa ucopy na tuma e-mail kwa watu 10. Kwa kufanya hivyo utasaidia kuiponya dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…