Dunia ina majaribu makubwa, ninayopitia sasa ni mateso makali

Kutambua tatzo n moja wapo yakufunguka kutoka matatzoni, lkn n vyema ukarud kwa muumba wako kwa imani yako na s kutegemea wanadam(waganga).

Kama ww n muislamu bas rejea mskitin swali na Allah atakufungua vfungo vyako, kama ww n mkristo vivyo hvyo rejea kanisan usali kwa moyo hakikia Yesu atakufungua na vfungo ulivyofungwa.


Wachana na wababu sjui wazee, rud kwa muumba wako. Yangu n hayo tu.
 
Asante sana mkuu
 
Kwanza: tengeneza mwili wako(weka kinga) na ukisha kuwa vizur waite wazee na mwambie ukweli kisha beba mtoto wako ondoka.


Kuhusu nyumba achana nayo.

Wanawake wa siku hizi ni wachawi sana.
 
100% maelezo yako na maisha ulopitia ndio niliyopitia mimi mpaka nimekuja kuokolewa na mwanamke mwingine.

namshukuru Mungu sana Sahizi nisingekuwepo..Alafu huyu Mwanamke aliyeniokoa Jinsi Mungu alivo wa ajabu ni kwamba Enzi zangu nakuja Dsm kipindi hicho 2015-2017 nilishawahi kutana nae na nikamwaidi kumuoa.Na yeye kipindi hicho yupo upande wa pili alikuwa anaenda kwa waganga kucheki mambo yake akawaga anaambiwa kuna mtu aliwahi kukuahidi kukuoa huyo ndo mme wako..kwingine utahangaika tu..

Aiseeh wakuu tusali sana Nguvu za giza zinatujua vizur sana...na zinajua mafanikio yetu kwamba huyu na huyu wakikutana ni mlipuko wa mafanikio/utajir sasa huwa shetan anajitahid kuziba sana msifanikiwe

Ukiokolewa kwa neema kama tulivopata sisi..Mungu anatengeneza njia za mafanikio

Sasa mimi nilipohamia dsm tokea mikoani nikapata sehem ya kuishi kimara Aiseeh sasa yeye alikua anafanya kazi sehemu hana muda sana maeneo hayo tangu ameanza kazi hapo..sasa siku katika pita zangu nikamwona mwanamke amekaa na na baadhi ya watu nikamwita kama utani nikamwambia karibu home!

Siku alikuja home ila baadae tukaanza kuona kama tulishafahamiana huko nyuma! Kumbe ni kweli na ni Mungu kapanga niende nae kwenye hatma ya mafanikio..na baadae akaona kama sipo sawa maana nilikua sitaki kwenda kazi nalala tu..nataka nirudi nyumbani kijijin nikawa namwambia simple tu hivi vitu utavichukua nataka nirudi kijijin akastuka hii sio akili ya kawaida aiseeh nilirogwa mimi na niliozaa nao plus watu wengine nao maana yule mtaalamu alinieleza kila kitu..

.....Naomba niishie hapa ila maisha yamenifunza sana ila nina bonge la story Mungu siku akinijalia nitaleta story yenye shuhuda ili iwe funzo kwa wengine( Biblia inaposema Mke mwema anatoka kwa bwana amini hivo, tunakutana na wanawake ambao Mungu hajatuchagulia na kuishia majuto, umasikini e.t.c)

Sahizi Mungu ametuokoa na tunamshukuru sana Mungu kwa neema hiyo...
 
Ndugu yangu wengine wananikebehi tu hapa mara uandishi wangu mbaya kuliko kubeba content wao wanakosoa na kuona sifa, nakumbuka kuna mtu alileta kisa chake humu wakamzodoa mno baada ya siku kadhaa jamaa akajiua ndipo taarifa ilipokuja wale wale wakajidai kusikitika lakini haya mambo yapo sana basi tu watu wanajizima data
 
kabisa kiongozi! unaweza kuta hao hao wanaokebehi wamerogwa maana mtu ukirogwa haujitambui kabisa..Wanawake kwa asilimia kubwa wametuzidi maarifa ya upande wa pili( kw waganga)..wanawake wengi wanashinda kwa waganga kuroga tu..changamoto sana kiongozi..ninaamini asilimia 70 ya wanaume wote tanzania wamerogwa😄..neema tu ya Mungu iwakomboe
 
Mim nikiona mtu anakosoa uandishi wa mtu pasipo kuangalia ujumbe uliokusudiwa kama umefika au la uwa naona hana akili
 

sasa uyo mganga ameshindwaje kukuwekea kinga asikuroge tena
 
Wanaosema masingle mama ni wachawi, waje hapa niwaonyeshe binti wa miaka 24 lakini kutwa kwa waganga hadi kuhongwa anatumia ndumba, Kuna watu ni wachafu kinoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…