M Mawele Platinum Member Joined Jul 25, 2023 Posts 1,161 Reaction score 4,251 Mar 28, 2026 #1 Kumbe kuna watu wanabaki ndoani kisa wanawadai wenza wao, yaani mtu kashaona hapa hapakaliki ila sababu aliwahi kumkopesha mwenza wake pesa anaona akimuacha na pesa itapotea hivyo anaendelea kubaki kusubiri mpaka alipwe ndio kama kuondoka aondoke. Sikiliza mwenyewe Your browser is not able to display this video.
Kumbe kuna watu wanabaki ndoani kisa wanawadai wenza wao, yaani mtu kashaona hapa hapakaliki ila sababu aliwahi kumkopesha mwenza wake pesa anaona akimuacha na pesa itapotea hivyo anaendelea kubaki kusubiri mpaka alipwe ndio kama kuondoka aondoke. Sikiliza mwenyewe Your browser is not able to display this video.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Mar 29, 2026 #2 Inasikitisha sana... Cc: Mahondaw