Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
Tz hakuna mambo ya kufwatilia ivyo akipatikna mtu mmoja tu tutajifunzaMkuu Teknolojia ni Yetu sote hili andiko kama ni lako kuna page insta imeweka kama ilivyo bila kuacha hata nukta, kama ni la huko insta ni uungwana kuandika hata source tu ya habari au taarifa.
Na ndio umuhimu wa kukumbushana unapoanzia, uzuri wa jambo lolote lile unakwenda sambamba na mpangilio wake wa kulifikia hilo jambo.Tz hakuna mambo ya kufwatilia ivyo akipatikna mtu mmoja tu tutajifunza
Afric hawafwatiliiiNa ndio umuhimu wa kukumbushana unapoanzia, uzuri wa jambo lolote lile unakwenda sambamba na mpangilio wake wa kulifikia hilo jambo.
Hili mimi ni mmoja wapo ninayefanya kazi kwenye hiyo page uliyoiona insta π kwaiyo hakuna ubaya ila main page kabisa ni #Bongotech255 βMkuu Teknolojia ni Yetu sote hili andiko kama ni lako kuna page insta imeweka kama ilivyo bila kuacha hata nukta, kama ni la huko insta ni uungwana kuandika hata source tu ya habari au taarifa.
Hongera mkuu, ushauri ungetafuta namna kuepushe hizi misunderstanding katika maandiko yako. Kazi nzuriHili mimi ni mmoja wapo ninayefanya kazi kwenye hiyo page uliyoiona insta π kwaiyo hakuna ubaya ila main page kabisa ni #Bongotech255 β