Dunia ina mambo

Ugomvi wa wazazi unapohamishiwa kwa watoto.....damn it!
 
Maty asante sana kwa hiyo true story ya kuhuzunisha sana, pia yenye kutoa mafunzo kwa upande mwingine.

Hapa dunia watu tumetofautiana sana kitabia,
kiasi ambacho ukipata bahati ya kuona au kusimuliwa mabaya
yanayotendwa na sisi tunaojiita binadamu unaweza usiamini kama nia kweli
yanatokea, na hata ukiamini kama yanatokea unaweza kubaki na maswali
mengi sana kichwani ambayo unaweza usipate majibu yake...

POLE NYINGI SANA HUYO MTOTO ALIYEBAKI HAI, PIA
R I P MTOTO NA MAMA YAKE.
 
hivi visa huwa vinanipa hasira sana...... siju hawa ni binadamu au!!??:shetani:
 
well said pasko maneno yako yamenigusa sana, yaani huwa nawazaga ni kitu gani kilimfanya huyo baba asuse vile nachoka kabisa inawezakana unayosema.
 
Ugomvi wa wazazi unapohamishiwa kwa watoto.....damn it!

Acha tu my dia watoto huwa tunawakosea sana, tuwalete duniani wenyewe bado matatizo yetu yanawageukia wao.
 
Mwe we nawe, uvalagizi tu kha!

Binadamu tunatofautiana kama vilivyo vidole vya mkono.
Wapo wakatili na wapo wenye huruma na upendo hili elewa wote wanaelea katika jahazi moja la Ubinadamu.
 
Pole kwa mtoto aliyebaki, hapo lazima kutakuwa kuna secret kubwa behind kama alivyosema pasco, lakini tunafundishwa kusamehe. Hakuna aliye mkamilifu jamani. Siku zote innocent angels ndio wanakuwa victims.Hili ni funzo hata hapa JF. Inatisha kwa kweli. Wanaume ni wakatili sana wakiamua, kuna mama mmoja alizaa nje ya ndoa akamweleza ukweli mume wake akakubali kumsamehe baada ya miezi 5 akamnyonga kale kachanga. Busara na KUMSHIRIKISHA Mungu kunahitajika sana.
 
Inasikitisha inasononesha sanaaa inasikitisha inasononesha sanaaaa
 
Binadamu tunatofautiana kama vilivyo vidole vya mkono.
Wapo wakatili na wapo wenye huruma na upendo hili elewa wote wanaelea katika jahazi moja la Ubinadamu.

Sasa unaongea lol, hili laweza kuwa funzo hata mimi niliogopa nikasema kumjibu jibu baba nyanzala kumbe aweza nisusia mazima
 
Yaani pasko amenifungua macho mpenzi, ila inabidi tujifunze kusamehe na kumshirikisha Mungu kama ulivyosema ili tupunge mateso kwa watoto wasio na makosa.
 
Sasa unaongea lol, hili laweza kuwa funzo hata mimi niliogopa nikasema kumjibu jibu baba nyanzala kumbe aweza nisusia mazima

Ndo maanake kuna jamaa alikataa kata kata kumzika mama ake toka anaumwa mpaka anavuta pumnzi ya mwisho jamaa hakuwahi hata kwenda kumuona hatujui walikolofishana nn na mama ake mpaka akaamua kumsusa.
 
umenikumbusga mbali,mie nimekulia kwenye mazingira kama hayo
 
Ndo maanake kuna jamaa alikataa kata kata kumzika mama ake toka anaumwa mpaka anavuta pumnzi ya mwisho jamaa hakuwahi hata kwenda kumuona hatujui walikolofishana nn na mama ake mpaka akaamua kumsusa.

Dunia ina mambo hii ndugu yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…