thanx mkuu ila mazingira magumu sana wameshafika mbali demu analia kweli kweli
rafiki yako alitakiwa ajue kuwa mke wa mtu ni sumu bila hata ya kuja kuomba ushauri huku.
mbona vitu vingine mtu unatakiwa utumie common sense jamani bila hata ya kuhitaji ushauri wa mtu.
Mbali wapi huko walishafika? Au jamaa tayari alishafanya mambo fulani? na nini hasa kinachomliza huyo mwanamke?
mume alitembea na mtt wa kufikia wa mke wake na wafanyakazi wake mke akajua ikawasongombingo akuna kushiriki tendo wako separeti ndicho chanzo
mume alitembea na mtt wa kufikia wa mke wake na wafanyakazi wake mke akajua ikawasongombingo akuna kushiriki tendo wako separeti ndicho chanzo
Huyo mama nae uzinzi unamsumbua ..inampasa ampokee yetu kuwa bwana na mwokozi wake hapo ndio atasolve matatizo yake ya ndoa na si kuongeza msululu wa ma B/F
huyo mwanaume hafai katika jamii kutembea na bintie wakambo ni aibu ni sawa na kutembea na mwanae wa kumzaa ingekuwa mm ndio huyo mama ningeanza zangu kwetu nikamwacha huyo baba na mwanangu nisingemwacha hapo ningempeleka kwa bibi yake au akakae kwa wajomba zake
kwa hiyo rafiki yako yuko tayari kuvunja ndoa ya watu?
kama huyo mama katendwa kama anavyodai si wadivorce kwanza kabla ya kuanza kuona wanaume wengine!
rafiki yako anahitaji kuwa makini.
FL rejea msg vzuri mume nae ni mzinzi tena kaenda mbali kutembea na mtt wa mke wake check na hilo pia
ajaoa ana GF tu na huyo mke wa mtu analijua hilo
ayupo tayri kuvunja ndoa yao yy ni mdunguaji tu