Dunia inaendeshwa kwa mtindo wa siri kwa jina la 4D

Dunia inaendeshwa kwa mtindo wa siri kwa jina la 4D

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Siri ya dunia ni kubwa yenye kikundi kidogo au watawala waliopo duniani na nyuma yao kwa ajili ya kuendesha dunia.

Nimeona nilete mada hii ili mjiulize kwa ufupi sana kuhusu maisha yenu na vizazi vyenu kwenye mijadala mingi mnayozuka nayo hapa JF.

4D ni jina lenye maana nyingi ila kwa mada hii ni muundo wenye pande nne au ishara ya box.Muundo wa box umebeba pande nne na pande nne zimebeba usiri wa kitaalamu kuhusu dunia.Kiufupi ufanyika elimu ya siri mfano wa majira ya dunia.
Majira ya dunia yapo manne nayo ni spring,summer,fall na winter.Majira haya uchukuliwa kama hesabu za siri kila baada ya miaka 20 kwa mtindo huu:

Screenshot 2024-05-27 133832.png




Hii ni siri ambayo njia nne zilizopo na mwisho wake ni 2028 ya 4D.
Nimejaribu kuweka mfumo ili kutambua jinsi mfumo huu.
Mfumo huu ulianza kutekelezwa pale vita ya pili ikiwa ukingoni mwaka 44 na kumalizika mwaka 45.

Kila baada ya miaka 20 inakuwa na majira yake yenye kuendesha dunia.

Mengine mnaweza kujaza kama nilivoweka.

Mnaweza kupata elimu kupitia link hii

View: https://www.youtube.com/watch?v=xeVyfiP0cLk
 
Kumbukeni kwa sasa tupo winter tokea 2008-28
Ndio tupo kwenye misuko suko ya uchumi wa dunia,magonjwa na vizazi vya ajabu vilivyo zaliwa 2008
 
Kwa hiyo unashauri nini? Ili hii misukosuko isimalize watu?
 
misukosuko ipo siku zote,tangu ulimwengu kuuumbwa
mara Hawa kala tunda, mara gharika , mara sodoma na gomora, mara yesu kaja kutukomboa naye kauawa
ni mwendelezo tu
 
misukosuko ipo siku zote,tangu ulimwengu kuuumbwa
mara Hawa kala tunda, mara gharika , mara sodoma na gomora, mara yesu kaja kutukomboa naye kauawa
ni mwendelezo tu
Ila jaman hii ya wakat huu kiboko. Kama huna backup knowledge kukuzoa mzima mzima wala sio shida.
 
Back
Top Bottom