Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Wakuu,
Kuna vitu sometimes huwa vinashangaza sana. Hii dunia hasa Tanzania inaishangaa sana team moja pale Kariakoo yenye jezi nyekundu, Simba.
Wao wamemaliza msimu bila kombe lakini mchezaji wao kuchukua kiatu kwao ni mafanikio makubwa zaidi ya team iliyobeba kombe tena double.
Wao kwao aliyefika finali na aliyefika robo yule wa robo ndio mwenye mafanikio! Wao hawataki Kombe ila tu kumfunga Yanga ni Kombe tosha!
Wameleta wachezaji wa mafungu mafungu na hawachezi kwao sio shida ila kwa wengine ni shida. Mmiliki wao analalamika team inapata hasara lakini haondoki yupo tu!
Yule kocha wao nae pia eti anaamini kuwa wao watakuwa mabingwa wa CAFCL! Yule babu wao Said Ntombonkiza yeye wanadai alitakiwa apewe kila tuzo pasipo hata kuangalia vigezo wao wanataka apewe tu!
Dunja inaishangaa sana hii team.