Dunia inakoelekea si kuzuri kabisa

Aisee

Laana isiyo na kikomo
 
😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑
 
Kuna baadhi ya wanyama dume hawezi kumpanda mama yake kabisa.

Sio bure huyo mama itakua anaongozwa na imani za kishirikina.
 
Uchafu wa watu wawili hauwezi elekeza Dunia mahali pabaya.
Hata hivyo, zamani yalipotokea matukio ya aina hiyo jamii ziliwatenga ili kuepuka laana ya jamii nzima, lakini nyakati tulizonazo jamii husadia kutekeleza uchafu wa aina hii, tatizo liko hapo.
 
Aisee

Laana isiyo na kikomo
Sasa mbona laana haiwapati .?? Naona watu wame pendeza kabisa hao..tumezoea kuona watu wenye laana huwa kama vichaa hivi. ....

Hii habari niliwahi kuisoma but Walikuwa hawajaoana duhh! !! Wame vurugwa sana aise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…