Dunia Inakwenda Ukingoni Kama ni Hivi!!!

Hii dunia imepitia maajabu mengi sana kwahiyo huyo jamaa hata hayupo kwenye list ya wanaofanya mpaka dunia itembee kwa kasi kwenye muhimili wake
 
Yaan mtoa uzi ni mpumba..u yaani unatulete udaku jf...
 
Sjawahi kufungua wala kushawishika wala kuamini habari yoyote inayo kuwa kwenye feed ya hiyo phoenix browser.
Hiyo app ni ya kisengerema sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…