Huwezi kazi nyingine mbali na uwakala ? Hiyo mashine ya benki uza ongeza mtaji endelea na biashara .
Sidhani kama kwako hauna vitu vya thamani ,uza hivyo vitu anza kupambana tena ,usikimbie familia itakuja kukusumbua kimawazo na kiuchumi hapo badaye .
Pole sana .
Ningekushauri vizuri zaidi ila niko bar madini yanakuja alafu yanapotea mdogo wangu