Kwa vyovyote vita ya conquest iiliyoanzishwa na Urusi dhidi ya Ukraine ni tabia ya kizamani sana hata kabla UN haijaundwa na diplomatic channels kufunguliwa duniani.
Vita hiyo imeirudisha dunia katika mfumo wa kizamani sana wa kunyang'anyana ardhi kama wanyama kulingana na ukubwa wa jeshi la nchi husika. Ila matukio ya siku za hivi karibuni huko Afrika ya Magharibi ambapo mapinduzi ya kijeshi yamepamba moto sana huku yakipewa support na Urusi yanatisha sana kwani yanairudisha Afrika miaka 40 nyuma hadi miaka ya sitini.
Dunia imeharibika?