What is your point nigga?Kushambuliwa Kwa lissu risasi 32 wamekutaja? Je wametaja abduction ya balozi POLEPOLE na wengine kama mdude ?
My point is katika mambo ambayo ccm na gvt yake walichemka ni swala la lisu Kuanzia kumshambulia risasi 32 kumfukuza ubunge na jambo lake kutofanyiwa upelelezi wowote na vyombo ukiachia mbali ni zile abductions za kishamba je BBC wamegusia mambo haya ya kushangaza ? Bila kusahau 29102025?What is your point nigga?
Wamegusia yote mkuu, actually wameyaongelea kwa kina with convictionMy point is katika mambo ambayo ccm na gvt yake walichemka ni swala la lisu Kuanzia kumshambulia risasi 32 kumfukuza ubunge na jambo lake kutofanyiwa upelelezi wowote na vyombo ukiachia mbali ni zile abductions za kishamba je BBC wamegusia mambo haya ya kushangaza ? Bila kusahau 29102025?
Wamegusia yote mkuu, actually wameyaongelea kwa kina with conviction
Mungu mkubwa hatimaye tumepata SAUTI ya kutusemea. Wakati mitivii yetu ya ndani mitakataka ITV tbc clods nk inaona tunavyoonewa wao wamechaguwa kuwa upande wa watesi wetu na sio umma wa watanzania.Wamegusia yote mkuu, actually wameyaongelea kwa kina with conviction
Watu hupotea, kutekwa na kuuwawa sababu ni mapenzi, madeni na kutaka umaarufu.....Jaji ChandeNi kama dunia ilikuwa haijui kinachoendelea Tanzania, now it has been taken by surprise by what has been aired by bbc on the horrific human rights abuse and the persecution of opposition members.
Kuna comments za raia huko duniani zinashangaa sana kusikia kinachoendelea Tanzania. Hawajawahi hata kuwaza kuwa Tanzania inaweza hata kukaribia tu kwenye huu ukandamizaji wa haki za binadamu na uminywaji wa demokrasia.
“Ukiona giza limezidi ujue kunakaribia kucha”.
Yaani hivi TV zetu za ndani, ni MAJANGA..kazi kusema mabaya ya CDM tena wakiwa wameshupaza shingo haswaMungu mkubwa hatimaye tumepata SAUTI ya kutusemea. Wakati mitivii yetu ya ndani mitakataka ITV tbc clods nk inaona tunavyoonewa wao wamechaguwa kuwa upande wa watesi wetu na sio umma wa watanzania.
ni search kwa jina lipi you tube kiongoziWametumia 20 minutes plus kuelezea
Weka link mkuuDunia inashangaa ukatili wa serikali ya Tanzania
Mungu gani???Mungu ataendelea kumlinda Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern
Hujui kugoogle? Google bbcWeka link mkuu
Mbona kama ni video hata hapa JF imepandishwani search kwa jina lipi you tube kiongozi
Mkuu naona unatumika bila mwenyewe kujijua; hivi ni Dr Samia alisimamia ufirwaji wenu?!!!!Mungu gani???
Hakuna mungu anayetetea msimamizi wa wizi, ufisadi, utekaji, ufiraji, mauaji, ukatili dhidi ya wanyonge, uonevu, ubambikaji kesi za uongo, na maovu na uhalifu mwingine mwingi
Utawala ukibadirika wanarudi wote live or dead. This is a reason why hawa majambazi hataki katiba mpya maana katiba mpya itawaondoa asubuhi tu na ndio utakuwa mwanzo wa kulipia maovu yaoHivi watu waliotekwa watarudishwa kweli au ndo basi tena
Wewe bhana unadhani Mungu ana akili ndogo kama yako ya kukubali sifa za kichawa? Samia kaua maelfu ya watanzania October 29, hili tu pekee halikubaliki mbele za MunguMkuu naona unatumika bila mwenyewe kujijua; hivi ni Dr Samia alisimamia ufirwaji wenu?!!!!
Anyway, mi nazungumza na M/Mungu, mweza wa yote, mwenye kuyajua kwa kina yaliyo ndani ya mioyo yetu na siyo yanayotoka midomoni pekee; mwenye kuyajua yanayopangwa gizani na sio haya yanayotolewa hadharani pekee. Huyo ndiye sisi tusiye na chuki na Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, tunaongea nae na kumuomba.