JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 8,556
- 18,428
Kuwa na Rais dictator, sio ajabu, ila kuwa na Rais mjinga, tena anayeamini katika ujinga wake, ni balaa!Ni kama dunia ilikuwa haijui kinachoendelea Tanzania, now it has been taken by surprise by what has been aired by bbc on the horrific human rights abuse and the persecution of opposition members.
Kuna comments za raia huko duniani zinashangaa sana kusikia kinachoendelea Tanzania. Hawajawahi hata kuwaza kuwa Tanzania inaweza hata kukaribia tu kwenye huu ukandamizaji wa haki za binadamu na uminywaji wa demokrasia.
“Ukiona giza limezidi ujue kunakaribia kucha”.
Umemaliza kila kitu mkuu.Kuwa na Rais dictator, sio ajabu, ila kuwa na Rais mjinga, tena anayeamini katika ujinga wake, ni balaa!
Watu kama Ghadafi, Sadam, Shekh hasina,madulo, Fidel Castro, walikuwa ma dictator, lakini walijua nguvu ya magharibi, walijua kibri Yao, ina mwisho, na limit, pale US, UK, wanapoamua kukukalia kooni!
Sasa Sisi tuna Rais anayeamini, yupo salama(binafsi) kwa sababu kazungukwa na vijana wa suti Kali nyeusi, na jazz, siraha!
Bila kujua Hao wote ni kama Simba wa karatasi! Wajomba wakiamua ku deal na yeye!
Bila kujua Hao wanaomlinda, wengine ni CIA, wakipewa amri tu, kaisha,
Rais anayeshauliwa na Makonda, Babutale, mwanafa!
What a shame
Haya ndio mawazo ya watu wajinga ambao wanaamini kua humu JF kila mtu yupo kwenye huo ushabiki wenu na mabishano yenu ya vyama vya siasa kila kukicha,mimi hoja yangu ni hivyo vyombo vya habari vya westeners,Spinning. Unajaribu kupooza unyama wa ndani kwa kurejea unyama wa nje!
Kinga ni bora kuliko tiba!
Nia ya mtu haijifichi.Haya ndio mawazo ya watu wajinga ambao wanaamini kua humu JF kila mtu yupo kwenye huo ushabiki wenu na mabishano yenu ya vyama vya siasa kila kukicha,mimi hoja yangu ni hivyo vyombo vya habari vya westeners,
Kama unaamini comment yangu hapa jf inaweza kupoza basi unatakiwa uutafakari sana uwezo wako wa kufikiri,ila kama umecomment ili mradi tu na wewe usisahauliwe kua umo humu jf basi ni sawa.
Kama ulivyoshindwa kuficha upumbavu wako sio?Nia ya mtu haijifichi.
Nia ya mtu haijifichi MkuuKuna watu wamejaliwa hekima kubwa na Mungu. Mwalimu Nyerere hakutaka mzee wa Msoga awe Rais, sijui aliona nini kwake. Bila ya Msoga, kamwe huyu bibi asingekuwa Rais, na haya maovu yote yaliyolipata taifa, kamwe yasingetokea.
Kupitia maandishi yako nimelibaini hilo. Maelezo yako mengi yamejikita kufunika ya ndani kwa kutumia ya nje!.Kama ulivyoshindwa kuficha upumbavu wako sio?
Kati ya wahalifu na askariAcha kuhemkwa! Huko ulikokutaja kulikuwa na vita na kama ujuavyo vita haina macho. Rejea bongo, kulikuwa na vita kati ya nani na nani?
Kuhusu Polepole, Soka na wengine waliotekwa walitaja kwenye hii documentaryMy point is katika mambo ambayo ccm na gvt yake walichemka ni swala la lisu Kuanzia kumshambulia risasi 32 kumfukuza ubunge na jambo lake kutofanyiwa upelelezi wowote na vyombo ukiachia mbali ni zile abductions za kishamba je BBC wamegusia mambo haya ya kushangaza ? Bila kusahau 29102025?
Aiseee jina letu itachukua miongo msingi sana kurudi kuwa safi kama enzi za mwalimu mkapa na jakayaKuhusu Polepole, Soka na wengine waliotekwa walitaja kwenye hii documentary
View: https://youtu.be/9WkYK-SjJtE?si=PxeZTewZuz8lfr2B
Kuhusu Tundu Lissu kupigwa risasi 16 wametaja kwenye hii documentary waliyopost leo. Ndio ilikuwa sentensi ya kwanza kabisa
View: https://youtu.be/9V11iRcPX1A?si=C33DIF3b_Nqns8kO
Ndo maana nasema unatumika bila kujielewa. Kwa akili Yako ya kawaida, Yale yalikuwa maandamano au maangamizi ya taifa?!!! Pumbavu we! Mungu atambariki Kila aliyezuia maafa Yale na ataendelea kumlaani Kila aliyehusika na uandaaji na uhalifu ule ulioghalimu maisha, Mali na ustawi wa taifa letu.Wewe bhana unadhani Mungu ana akili ndogo kama yako ya kukubali sifa za kichawa? Samia kaua maelfu ya watanzania October 29, hili tu pekee halikubaliki mbele za Mungu
Haya mashoga hayatoweza kutuingiza ushogani kama hao chadema. Mungu yupo anatulinda, analilinda taifa lake.Kuhusu Polepole, Soka na wengine waliotekwa walitaja kwenye hii documentary
View: https://youtu.be/9WkYK-SjJtE?si=PxeZTewZuz8lfr2B
Kuhusu Tundu Lissu kupigwa risasi 16 wametaja kwenye hii documentary waliyopost leo. Ndio ilikuwa sentensi ya kwanza kabisa
View: https://youtu.be/9V11iRcPX1A?si=C33DIF3b_Nqns8kO
Mungu mkubwa hatimaye tumepata SAUTI ya kutusemea. Wakati mitivii yetu ya ndani mitakataka ITV tbc clods nk inaona tunavyoonewa wao wamechaguwa kuwa upande wa watesi wetu na sio umma wa watanzania.
Mungu atalilinda taifa dhidi ya mafisadi, wala rushwa, wauaji, wakandamizaji wa haki za binadamu, Miunguwatu, machawa na watekaji 🇹🇿Haya mashoga hayatoweza kutuingiza ushogani kama hao chadema. Mungu yupo anatulinda, analilinda taifa lake.
Labda mungu wenu muliyemtengeneza kwa kiroba Cha cement ndiye atakayewainua waongo, wenye wivu, chuki na mliojaa wivu na fitna. Mungu wa kweli kamwe hawezi kuwapa ushindi watu wa namna hiyo.Mungu atalilinda taifa dhidi ya mafisadi, wala rushwa, wauaji, wakandamizaji wa haki za binadamu, Miunguwatu, machawa na watekaji 🇹🇿
This is satire. Isn't it?Kati ya wahalifu na askari
Mkuu, Lucifer hufanya kazi na wenye wivu, waroho, wenye tamaa, wenye chuki, wabaguzi n.k Ili damu imwagike. Okt 29 aliwatumia hao kutaka kuharibu taifa letu pendwa, bahati nzuri Mungu alikuwa pamoja nasi BASI akawatupilia mbali.Mkuu,
Hakuna mungu wa hivyo. Huyo anaitwa Lucifer, Sheitwani, ibilisi...
Vipi kuhusu mafisadi, watekaji, wauaji, wala rushwa na wakandamizaji wa haki za binadamuLabda mungu wenu muliyemtengeneza kwa kiroba Cha cement ndiye atakayewainua waongo, wenye wivu, chuki na mliojaa wivu na fitna. Mungu wa kweli kamwe hawezi kuwapa ushindi watu wa namna hiyo.
Mungu wa kweli, kwa namna yoyote ile hata ile ambayo jicho la wapumbavu linaweza kuona tofauti, atawalinda/atamlinda anayesimamia ustawi........hata ikiwa Dunia nzima iliyojaa wapumbavu itamgeuka, Bado atashinda. Bahati nzuri, Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, anapendwa na wengi na atalindwa vizuri tu.