Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Umeona kwako la Maana ni Ushoga,upo Toka zamani Dodoma na Gomorrah,tunazungumzia kutia aibu Kwa Nchi yetu,mauaji,utekaji,kunyimwa Haki za kikatiba, Wewe Vipi mkuu!Ongea Kwa Hekima na Hoja zenye mashiko sio kubweka!Ushoga itaishia huko huko
Hao unaosema wananyimwa haki (bila shaka unamrejea lissu), wamemtendea nani haki wakiwa kwenye nafasi zao?!!!Umeona kwako la Maana ni Ushoga,upo Toka zamani Dodoma na Gomorrah,tunazungumzia kutia aibu Kwa Nchi yetu,mauaji,utekaji,kunyimwa Haki za kikatiba, Wewe Vipi mkuu!Ongea Kwa Hekima na Hoja zenye mashiko sio kubweka!
asante mkuu niliiona hadi tako lilivyokatwaTundu lissu documentary!
Kwa huyo kuteka wananchi Wako Mwenyewe,huyo Ndio Haki na demokrasia,?Nafasi zipi walizowahi kuwa nazo za utawala,ila muda mbaya Kwa mboga mboga!Hao unaosema wananyimwa haki (bila shaka unamrejea lissu), wamemtendea nani haki wakiwa kwenye nafasi zao?!!!
Hao unaosema wananyimwa haki (bila shaka unamrejea lissu), wamemtendea nani haki wakiwa kwenye nafasi zao?!!!