Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Tanzania inaendelea kuishangaza dunia kwa maajabu yanayofanyika tokea kuzuka kwa Ugonjwa wa Covid-19!
Chini ya Rais wake John Pombe Magufuli:
Mtafiti au Mtaalamu yeyote huja na hesabu au namba kuthibitisha utafiti wake.
Chini ya Rais wake John Pombe Magufuli:
- Tanzania ilikataa kwenda Lockdown.
- Tanzania ilikataa kufunga mipaka kuhofia Uchumi kuporomoka.
- Tanzania ilikataa kufanya vipimo vya Covid-19 kwa kudai Test Kits za Covid-19.
- Baada ya hapo hakujawahi kutolewa taarifa ya Maambuki every after 24hrs.
- Baada ya hapo kauli inayosikika kwa Sasa Ni MAAMBUKIZI YAMEPUNGUA lakini Watawala hawataki kuonesha namba iliyopungua au kuongezeka.
- Tayari vyuo, shule na Watalii toka nje wameruhusiwa kuanza rasmi!
Mtafiti au Mtaalamu yeyote huja na hesabu au namba kuthibitisha utafiti wake.