Bila shaka dunia nzima iko na habari kuhusu ubunge na ugonjwa wa Tundu Lissu. Dunia ana habari kuhusu kilichomtokea Lissu na mahali alipo hivi sasa.
Baada ya Lissu kuvuliwa ubunge na Lissu kwenda mahakamani kuomba kurejeshewa ubunge wake bila shaka dunia yote itakuwa ikifuatilia kesi hii na maamuzi yake.
Bila shaka hii itakuwa challenge kwa mahakama zetu, ni muda wao wa kijiinua au kijianguza kimataifa.